Pata Wapangaji Kiurahisi, Ongeza Kipato.

Tunapiga picha, tunatangaza nyumba yako, na kutafuta wapangaji. Wewe unapokea kodi tu.

  • Bure kwa Wamiliki
  • Pata Wapangaji Haraka
  • Tuachie Kazi Yote

Haba na haba hujaza kibaba

Hatua Tatu za Kupata Mpangaji

Wewe miliki nyumba. Sisi tutafute wapangaji.

  1. 1. Piga Simu au WhatsApp

    Tuambie kuhusu nyumba yako. Tutapanga muda wa kuitembelea.

  2. 2. Tunapiga Picha na Kutangaza

    Tunapiga picha za nyumba yako, tunaithibitisha, na kuiweka mbele ya maelfu ya wapangaji.

  3. 3. Tunapata Mpangaji

    Tunawatafuta na kuwachuja wapangaji wanaofaa, kisha tunakuunganisha nao. Uamuzi wa mwisho ni wako.

Njia Rahisi ya Kupata Wapangaji

Kazi ndogo. Wapangaji zaidi. Bure kwa wamiliki.

Bure Kabisa kwa Wamiliki
Hakuna ada wala kamisheni kwa wamiliki. Wapangaji ndio hulipia huduma.
Tunatangaza Kwa Ajili Yako
Hatuhitaji uposti kwenye vikundi vya WhatsApp. Tunashughulikia picha, matangazo, na kuwafikia wapangaji.
Nyumba Zilizothibitishwa Huaminika Zaidi
Tunatembelea na kuthibitisha kila nyumba. Hii huwapa wapangaji imani zaidi.
Uamuzi Ni Wako
Tunakuonyesha wapangaji wanaofaa. Wewe ndiye unayeamua nani aingie.

Acha taarifa zako, tutakupigia

Tuma taarifa zako hapa, au tutumie WhatsApp au barua pepe. Tutawasiliana nawe.

Au tutumie moja kwa moja: WhatsApp · info@ndotoni.com

Kwa kutuma, unakubali vigezo na masharti

Usikose Mapato ya Kodi. Tuachie Taarifa Zako Leo.

Tupe taarifa za nyumba yako. Sisi tutatafuta wapangaji na kushughulikia mengine.